Mtangazaji wa EFM Seth Katende ‘Bikira wa Kisukuma’ amefariki

Taarifa zilizotoka jioni ya jana July 9 2017 ni kwamba Seth amefariki, EFM imesema Seth amefariki akiwa kwenye Hospitali ya taifa Muhimbili baada ya kuugua kwa muda mfupi ambapo msiba upo nyumbani kwa baba yake Changanyikeni Dar es salaam.

Tunatoa  pole kwa wote kwenye kipindi hiki kigumu cha kumpoteza Mwanahabari mwenzetu lakini pia Rafiki wa wengi.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment