Mwalimu mkuu atakaemrudisha mwanafunzi aliyepata mimba shule ataondoka

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amesema mwalimu mkuu atakayemrudisha mwanafunzi aliyepata mimba shule na kuendelea na masomo katika shule za Serikali, ataondoka

Rais Magufuli ameyasema hayo jana alipokuwa katika ziara yake ya siku mbili  mkoani Mwanza.
“Nikimuona Headmaster (Mwalimu mkuu), amerudisha mwanafunzi aliyepata mimba, kwenye shule za Serikali, yule mwalimu anaondoka,” amesema Rais Magufuli.
Hata hivyo aliomba wazazi kuzingatia malezi ya watoto “Niwaombe wazazi wawachunge watoto, hizi mimba zinatokana na wazazi wetu ni lazima wazazi tujifunze kulea.”
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment