Serikali kuboresha bandari zote nchini – Rais Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amesema serikali ya awamu ya tano imedhamiria kuboresha bandari zote nchini huku akiitaka TPA na TRA kuongeza udhibiti kwa mizigo inayoingia na kutoka.
Rais Magufuli amesema hayo jana wakati wa uzinduzi wa upanuzi wa bandari ya Dar es salaam.Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment