UKATA NA UBAHILI WA WASANII WAMFANYA TUNDA AZITOSE VIDEO ZA MUZIKI

Staa wa video za wasanii nchin amezungumza uhusu sababu zilizofanya kutokujihusisha tena kwenye video za muziki. Mrembo huyo ametaja ukata wa wasanii kuwa ndio chanzo.

Amesema, “sababu kubwa iliyonifanya mimi nijiondoe kwenye masuala hayo ni wasanii hawana hela halafu pia haina maslahi. Unaweza ukamfanyia kazi msanii na kila kitu unafanya cha kwako  halafu bado msanii anakupa laki tano. So kwangu mimi kama mimi naona haitoshi kwasababu unakuta  nina vitu vingi vya kufanya so hivyo ndo vimenifanya niache hiyo kazi,” amesema.
Tunda ameonekana kwenye video kibao za wasanii zikiwemo za Diamond, Young Dee na wengine 
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment