Zari The Bosslady afiwa na mama yake mzazi

Zari The Bosslady ameendelea kupitia katika kipindi kigumu – Asubuhi ya leo mrembo huyo amepata msiba wa mama yake mzazi.

Mrembo huyo wa Diamond amethibitisha taaifa hizo kupitia picha ya mama yake huyo aliyoiweka Instagram na kuandika,
 “It’s with deep sorrow that my family and I announce the death of our lovely mother who passed on this morning. May her soul rest in peace, May Allah forgive you your sins and grant you Jana.”
“You will forever be loved our Old Sun, us as your kids were given the best from God as our mother. We appreciate all you did for us. We will forever cherish you Mama.
Sleep well😢,” ameongeza.


Mama yake Zari akiwa amembeba Tiffah alipokuwa ametembelea nyumbani kwa Diamond, Madale mwaka 2015
Huu ni msiba mkubwa wa pili kwa Zari kutokea mwaka huu baada ya takribani miezi miwili iliyopita alifiwa na mzazi mwenzake Ivan Ssemwanga.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.