Alikiba ajibu mashairi ya Diamond?

Baada ya verse ya Diamomd Platnumz kusikika katika remix ya ngoma ya Fid Q ‘Fresh’, kumekuwa na tweets kutoka kwa Alikiba ambazo bado hazijaeleweka iwapo zinajibu kile alichoimba Diamond katika ngoma hiyo.


Katika ngoma hiyo ya rapper huyo mkongwe kuna mIstari Diamond anasema, “Viuno vidogo wanataka pensi ya Pepe Kalle, siwalitaka kiti nimewapa hadi kitanda wakalale”.

Sasa muda mfupi uliyopita Alikiba kupitia mtandao wa twitter ameandika ujumbe ambao bado ni mapema kusema iwapo amemjibu Diamond.
The KING ll always Be a KING. je Umeshakitandika nilale MALKIA wangu wa nguvu ?? #KingKiba,

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment