AliKiba haongezi mashabiki kwa skendo – Mhe. Bashe

Mbunge wa Jimbo la Nzega(CCM), Hussein Mohammed Bashe ameweka wazi kuwa japo kuwa yeye ni mgonjwa wa Hip Hop lakini yeye ni mshabiki wa Alikiba namba moja.

Bashe kupitia ukurasa wake wa Instagram ameeleza hivyo huku akisema msanii huyo anaweza kuwa hana mafanikio ila soko halitamchoka na haongezi mashabiki kwa skendo.
He is one of my favorite ni msanii Simple,down to earth , humble ,Creative I wish him All the best .
Though mm ni Mgonjwa wa Hip Hop that’s why in my list yupo Roma,Chid benz,Jay,Ney,Sugu
But Kiba ni true sign ya msanii anaejua wat it takes to b artist how to behave how to act how to conduct him self anaweza kuwa hana mafanikio kama wengine but huyu jamaa Akiendelea hivi Ana Bright future soko halitamchoka haongeza mashabiki kwa skendo he is growing his fan base kwa mziki na how he conduct him self
It’s like Roma Content ya nyimbo zake zinataswira ya aina ya mtu na Ubongo wake listen to Mathematics, 2030 these r pple to protect and cherished

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.