Msanii wa filamu, Aunt Ezekiel amedai amezisikia tetesi za kumaliza kifungo kwa aliyekuwa mume wake, Sunday (Demonte) ambaye alifungwa nchini Dubai kwa ishu ya dawa za kulevya. Muigizaji huyo ambaye kwa sasa yupo kwenye mahusiano na densa na Diamond na wamefanikiwa kupata mtoto mmoja aitwaye, Cookie amedai ingawa hakuachana na mume wake huyo wa ndoa lakini hawezi kurudiana naye tena kwa kuwa tayari kwa sasa ameshaanza maisha yake mapya.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments/maoni:
Post a Comment
Note: only a member of this blog may post a comment.