Batiki Bado Zimo japo hazivumi,Jokate Mwegelo Atinga gauni la Batiki toka kwa designer wa Ki Tanzania Bijouxtrendy

Yes Jokate anajivunia U Tanzania wake baada ya kuamua kutinga kivazi cha Batiki akiwa huko South Africa alipohudhuria #NBAAfricaGame.
Kivazi kimepewe jina la mapepe tie&dye dress 
kigauni amazing kwa casual days ,waweza dress up na heels au dress down kama Jojo na gladiators au sneakers 


Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment