Ben Pol akana kulipwa afanye kiki na Ebitoke, yale ni mahaba ya kweli

Msanii wa muziki Ben Pol amekanusha taarifa ambazo zinazagaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba alilipwa tsh milioni 3 na uongozi wa Timamu TV ili afanye kiki na mchekeshaji, Ebitoke. Muimbaji huyo amedai kila kitu ambacho kimetokea kwenye maisha yake akiwa na Ebitoke hakuna lichotengezwa huku akidai yote yalikuwa ni maisha yake halisi.Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.