Birthday Wishes ya Diamond na Zari kwenye birthday ya mtoto wao Princess Tiffah kufikisha Miaka 2

Familia ya Diamond na mpenzi wake Zari The Bosslady Jumapili ya leo wamepata furaha kubwa zaidi ambayo inawafanya wakumbuke miaka miwili iliyopita.
Furaha ambayo wapo nayo familia hiyo kwa sasa ni kusherehekea siku ya kuzaliwa kwa mtoto wao wa kwanza Princess Tiffah ambaye anatimiza maiaka miwili ya kuzaliwa kwake.
Kupitia mtandao wa instagram, wazazi hao wameshindwa kuzuia furaha zao juu ya mtoto wao huyo. Diamond ndio amekuwa wa kwanza kuandika ujumbe wake kwenye mtandao huo, 
“Happy 2 years mama, Words Can’t express how much i love you my Tee…. ๐ŸŽ‚ ๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž @princess_tiffah ๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž ๐ŸŽ‚.”

Naye Zari hakusita kuonyesha furaha yake kwa kuandika, “It’s princess world…happy birthday my one and only๐Ÿ‘ธ @princess_tiffah.”
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment