Bob Junior azidi kutupa ‘dongo’ gizani

Je! Bob Junior anamlenga nani kwa madongo  yanayotupia mtandaoni.
Bob ambaye pia ni producer wa mziki katika studio za Sharobaro rekodi, amekuwa akifululiza kurusha makombola yake ambayo yanaashiria kumlenga mtu fulani kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram ambapo leo hii ameandika;

“HAAAHAHA!!! NGUVU YA MUNGU HAIZUILIKI USHAJIJUA KAMA KADOGO DOGO EEH…. NA BADOO KWA HAYA MAMBO YAKO YAKITOTO KAMA USEMAVYO BUT NAENDELEA KUFANYA AMBAYO NIMEUMBWA KUFANYA KAMA MUNGU ALINITUMA KWA WEMA KWAKO BASI ATANILIPA NINACHO STAHILI MAANA UMEZIDI KEJELI NA DHARAU SASA ANAE KUHUKUMU NDIO UTAKAE PAMBANA NA WEWE MR.KADOGO DOGO 🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂 #GIVEME,
Hata hivyo bado haijabaanika kuwa mkali huyo ana mlenga nani ama anatafuta attention kwa watu ili aweze kuachia ngoma yake mpya hivi karibuni.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.