DIAMOND AMTUMIA SALAMU ZA BDAY RAY VANNY KWA PICHA ‘TATA’ NA YA KIBABE

Diamond anaendelea kuimiliki internet kwa wiki ya pili mfululizo. Ukianzia tetesi za kuwa baba wa mtoto wa Hamisa, Abdul Naseeb, diss yake kwa Alikiba kwenye Fresh Remix na sasa hadi kwenye controversial picture aliyotumia kumpongeza Raymond kwenye siku yake ya kuzaliwa Jumanne jana 

Picha hiyo inamuonesha Mond akimpiga busu mchumba wake Zari the Bosslady na pembeni yao akiwa amesimama Ray Vanny aliyeangalia pembeni kupisha mambo ya wakubwa. Kwenye post hiyo, Diamond hajampongeza tu Ray lakini ametumia picha hiyo kudhihirisha mahaba mazito kwa Mama Nillan katika kipindi hiki cha skendo ya Hamisa.
Ameandika: Jus wanted to wish the Guy at the Back Happy birthday👀…Please tag Him!!!
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment