Fahari ya mkulima ni mavuno – Dkt Kikwete

Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete amezidi kuonyesha jinsi msimu huu alivyovuna mahindi vizuri huku akisema ukivuna vizuri inakupa moyo kulima msimu ujao.

Dkt Kikwete alitweet kupitia ukurasa wake wa Tweeter:
Shughuli ya mavuno inaendelea leo Msoga. Fahari ya mkulima ni mavuno. Ukivuna vizuri, inakupa moyo kulima msimu ujao


Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment