Hamisa Mobetto Kanoga na Picha mpya Maternity Shoot,Plus kafungua Jina la account ya Kijacho Baby Dee

Hamisa amepost picha yake ya martenity ambazo kwa sasa wengi wakiwa wanazisubiri kwa hamu,sababu mtoto wake kijacho akihusishwa kua ni wa Diamond japo mwenyewe kashakana mtoto sio wa kwakwe ,Hamisa amekua kimya hadi sasa.

dressed by Elisha red label 

Mama Kijacho huyu ambaye ni model na muigizaji ana mtoto wa Kike na Majizzo na huyu kijacho ni mototo wake mtarajiwa ambaye hata kabla hajazaliwa ashaongelewa sana.
Hamisa anamuita kijacho wake Baby Dee na amefungua account inaitwa tanzanianbaby 

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment