HONGERA HAMISA MOBETTO KWA KUPATA MTOTO WA KIUME

Hamisa Mobetto amejifungua mtoto wa kiume Jumanne hii, August 8. Mtoto huyo kwa sasa anamtambulisha kama Baby Dee. Ametumia Instagram kushare habari hiyo njema.

“Ahsante MUNGU๐Ÿ™๐Ÿพ❤️. Welcome to the world Champ @tanzanian_baby I love U ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ,” ameandika kwenye picha ya kwanza.

Kwenye picha ya pili, Hamisa ameandika: ๐Ÿ™๐Ÿพ…. ❤️ @tanzanian_baby love you baby Dee ❤️.”


Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment