kidudu mtu chaingia kwenye Ndoa ya Nuh Mziwada

Ndoa ya Nuh Mziwanda na  mkewe Nawal  ilioyofungwa  mwaka jana Novemba imeingiwa na kidudu mtu kilicholeta madhara na kupelekea ndoa hiyo kuvunjika.


Akiongea katika U-Heard ya Clouds FM, Jumatano hii  Nawal amethibitisha  kuachana na  baba mtoto wake Anyagile  na kila mtu anaishi maisha yake na wakati huyo huo amesema tayari yeye ameshaolewa na mwanaume mwingine.
” Sina mume mimi, Nuh wakati anaamua kurudi kwenye dini yake (Ukristo) hakunishirikisha  kwa chochote na mimi sasa hivi nipo kwa bibi yangu Msasani, pia nimesha olewa na mtu mwingine,”amesema mrembo
Pia Nawal amedai kuwa mpaka sasa ameondoka alipokuwa anaishi na mumewe wake huyo,  huku akidai mumewe ndio alikuwa na makosa katika ndoa hiyo pia tangia aondoke hapo amekuwa hamjali mtoto wao kwa chochote  kile pia Nawali ameeleza kuwa anauwezo wa kumlea mtotot wake bila ya msaada wake  kama aliweza kumzaa mwenyewe.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.