Kikwete, Lowassa, Membe uso kwa uso katika mazishi ya bilionea

Hiyo jana katika mazishi ya bilionea, Maleu Mrema ambayo yalifanyika katika hoteli yake ya Ngurudoto jijini Arusha walikutana viongozi mbali akiwemo Rais Mstaafu Jakaya Kikwete, Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa na Waziri Mstaafu wa mambo ya nje Benard Membe.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment