Kivazi hiki cha Zarithebosslady ni sawa kwa kuendea Club????

Zari Bae cation yake imeisha na Mondi ,ila tu naona mitandaoni wanampopoa sana kwamba the dress sio sawa for club na clutch yake juu.
Alikua Nairobi akimpa kampani Diamond ambaye alikua mgeni kwenye club hiyo 
 .Zari alivaa this black cut out dress 
je ni sahahi alivyovaa kwa kuibuka nalo club??

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment