Kwa Mnaotaka kumuona mtoto wa Linah subirini hadi afikishe siku 40

Msanii wa muziki wa Bongo Flava, Linah Sanga amezungumzia kitendo cha mastaa kuwaziba sura watoto wao pindi tu wanapojifunguwa.
Akipiga story na Dizzim Online msanii huyo ambaye ametimiza siku 7 tangu kujifungua kwake mtoto wa kike, amesema hana budi kufuata mila na tamaduni za Tanzania zinavyosema.

“Style ya kumziba mtoto sidhani kama ina ubaya sababu kwangu mimi nafanya kulingana na mila zetu kwamba si vizuri kwa mtoto kumuonesha akiwa bado mdogo. Lakini akimaliza 40 nitamuonesha unless nina sababu nyingine,” amesema msanii huyo.
Linah amepata mtoto wa kike aliyempa jina Tracey.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment