Mh.Sumaye aeleza Sababu za Wema Sepetu kukwama kujiunga na CHADEMA


Jumanne hii malkia wa filamu nchini, Wema Sepetu ameshindwa kujiunga rasmi na Chama cha Chadema na kukabidhiwa kadi ya uanachama kutokana na ratiba ya shunguli hiyo kuingiliana na ratiba ya MahakamaniKwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, Fredrick Sumaye amesema muigizaji huyo alikuwa aende ofisini hapo kwaajili ya kuchukua kadi ya chama hicho na kujiunga rasmi.

Wema amepandishwa Mahakani leo saa nne asubuhi na kuambiwa atapandishwa tena leo jioni saa sita jioni hali iliyosababisha ratiba ya mkutano wake na waandishi kughailishwa.
Muigizaji huyo anatuhumiwa kukutwa na msokoto mmoja wa bangi nyumbani kwake baada ya kufanyiwa upekuzi.

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.