Millen Magese Ashare picha akiwa anamnyonysesha mwanae huku akipakwa make up

Millen Magese anaendelea ku enjoy motherhood,na mtoto wake Prince Kairo.
Ameshare picha kadhaa akiwa aanamnyonyesha mwanae huku kijana akiwa anampaka make up tayari kabisa kwenda kwenye sherehe za Miss Nigeria USA mwaka 2017 ambapo alikalikwa kwa moja wa ma jaji wa mashindano hayo.


Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment