Rangi ya Nywele ya Jacqueline Mengi yavutia warembo wengi

Wanaiita rangi hii blonde,yani ni bleach ambayo inaachwa inakolea haswaaa.
Jacqueline Mengi amekua na hair style hii kwa muda sasa ,amepumzisha zile peruvian hair zake.
But her curly hair do imempendeza sana na imevutia warembo wengi ambao ni shabiki wa Miss Tanzania huyu wa zamani wa mwaka 2000.


Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.