WCB walivyokinukisha Birthday ya Romy Jons

Siku ya jana August 18, 2017 ilikuwa birthday ya DJ wa Diamond Platnumz, Romy Jons ambapo wasanii na viongozi wa WCB walijumuika pamoja na watu mbali mbali kusherekea.

Muda mfupi uliopita Romy Jons kupitia mtandao wa instagram ametoa shukrani kwa wote waliohudhuria party hiyo, “thanks for everyone who showed up last night…shukran sana kwa kila aliyejitokeza jana!najisikiaga faraja sana kusherehekeaga siku yangu ya kuzaliwa na watu wangu wa karibu na wasiokua wakaribu pia!!!!,” ameandika.
Tazama picha zaidi.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment