Young Dee afunguka kumsweka rumande Amber Lulu kisa picha za utupu (Video)

Msanii wa muziki kutoka King Cash, Young Dee amedai tayari ameshamchukulia hatua za mwanzo muimbaji na video vixen, Amber Lulu baada ya kumtuhumu kuwa yeye ndiye aliyesambaza picha chafu mtandaoni zinazomuonyesha msichana huyo akiwa mtupu huku rapa huyo akimshika makalio. Bongo5 ilimtafuta rapa huyo na kuzungumza naye sababu na kupiga picha hizo na madhara yaliyojitokeza baada ya kusambaa.Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.