Mahahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemwachia huru mfanyabiashara, Yusuph Manji, katika kesi ya uhujumu uchumi iliyokuwa ikimkabili.


Mfanyabiashara Yusuf Manji na wenzake watatu waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi kwa kukutwa wakiwa na mabunda 35 ya vitambaa vinavyotumika kutengeneza sare za Jeshi la wananchi wa Tanzania(JWTZ) zenye thamani ya Sh milioni 192.5 wameachiwa huru baada ya kesi yao kufutwa na Mahakama ya Kisutu.
Kesi hiyo imefutwa baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka(DPP) kusema hana nia ya kuendelea na kesi hiyo.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment