Waafrika sasa tumeamka – Dkt Mwakyembe

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt Harrison Mwakyembe amesema kuwa kwasasa Waafrika wameamka na kuamua kurejesha utamaduni wao kwa nguvu zote.

Akizungumza katika Tamasha la Kimataifa la Utamaduni na Sanaa Bagamoyo ambalo limeanza huko Bagamoyo mkoani Pwani, ambalo kwa mwaka huu limeshirikisha wasanii 68 kutoka Tanzania na nje ya Tanzania.
“Sasa hivi Waafrika tumeamka tumeamua kurejesha utamaduni wetu kwa nguvu zetu zote kwasababu tumeelewa kuwa utamaduni ndio msingi wa maendeleo usipokuwa na utamaduni wako huwezi hata siku moja kuwa na chako wewe chuo hichi au taasisi hii ya sanaa na utamaduni ni moja ya vyombo amabvyo tumeviweka kulea, kuelimisha kendeleza utamaduni na sanaa zetu,” alisema Dkt Mwakyembe.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment