‘A BOY FROM TANDALE’ NI ALBUM YA TATU YA DIAMOND PLATNUMZ ANAYOPANGA KUACHIA

Staa wa muziki kutoka Tanzania Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platnumz sasa ameweka wazi ambacho amekuwa akikiandaa kwa ajili ya mashabiki wa muziki na wapenda burudani kwa muda mrefu na kukiwasilisha kwa jina ‘A Boy From Tandale’.

Rasmi Diamond Platnum alishaachia album mbili kipindi cha nyuma zilizoandaliwa zaidi katika maudhui ya kitanzania zaidi(Bongo Fleva), Na mara hii katika ujio wenye muendelezo wa ambacho alishagusia kuwa ataachia Internatinal Album, Diamond amethibitisha jina la album na kumalzia kuwa itatoka hivi karibuni.
Picha kumbukumbu inamrudia kila anaymfatilia Diamond Platnumzi kuwa aktika hatua ya mfanikio ya ngoma ya Kidogo aliyoshirikisha kundi maarufu la muziki la nchini Nigeria ‘P-Square’ kipindi cha umoja wao, Diamond aliwataarifa mashabiki wake kuwa ni hamu yake kubwa kuacha album ambayo iliipatia sura ya kuwa itakuwa ni album ya karne.
Kupitia ukurasa wa Instagram juu ya ujio wa album yake aliweka picha ambayo ni wazi kuwa itasimama katika kuwakilisha cover ya album hiy

A post shared by Chibu Dangote (@diamondplatnumz) on
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment