Alikiba afunguka mahusiano yake na Mange Kimambi (Video)

Hitmaker wa Seduce Me, Alikiba amefunguka juu ya mahusiano yake na Mange Kimambi.


 Mara kadhaa Mange amekuwa akimpa support kubwa msanii huyo huku akimtetea kwa kila hali endapo hali ya mashambulizi kutoka kwa wapinzani inaonekana kuwa kubwa.

Akiongea na Bongo5, Ali amesema, “Nimeshawahi kuonana na Mange nimepiga naye picha, ni kama shabiki wangu na nina appreciate kwamba anapenda muziki wangu kwa sababu ninamuheshibu kila mtu anayeni support.”
“Pili nina u-free nina haki na kila mtu, mimi nina haki ya kupendwa na mtu yoyote. Nina haki ya kupendwa na Mange na nina haki ya kupendwa na mtu yoyote yule,” ameongeza.

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment