DJ KHALED ATEMBEZA SHAVU JIPYA KWA DIAMOND

Diamond Platnumz ni jina linalovinjari tu kwa sasa kwenye kurasa za mitandao ya kijamii ya mastaa wa Marekani. Hii ni baada ya kutangazwa kuwa balozi wa kitaifa wa Luc Balaire.

Baada ya Rick Ross kumpost mara mbili Instagram, Dj Khaled naye amempost hitmaker huyo wa Hallelujah kwenye Twitter. Hatua hiyo imekuja wakati ambapo Diamond ameweka rekodi Afrika Mashariki kwa kupata views milioni 1.6 kwa siku moja kupitia wimbo wake Hallelujah aliowashirikisha Morgan Heritage.

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment