MILLEN MAGESE AKUMBUKIA MENGI ALIYOPITIA HADI KUMPATA MTOTO WAKE PRINCE CAIRO

Mwanamitindo wa kimataifa maarufu kutoka Tanzania anayeishi Marekani, Happiness Magese ‘Millen Magese’ Baada ya kutafuta mtoto kwa kipindi kirefu, furaha yake imeendelea kuongezeka ukubwa huku akizidi kuikumbuka siku yake ya mafanikio na maamuzi magumu yaliyozaa matunda ya kupata mtoto wake wa kwanza.Millen Magese ambaye mwaka huu alifanikiwa kupata mtoto wake wa kwanza wa kiume aitwae Prince Kairo ambaye imehesabika kuwa ametimiza mwize 13 tangu azaliwe na leo kupitia ukurasa wake wa InstagramMillen ameusherehekea mwaka wa kumbukumbu ya siku aliyofanyiwa hatua za kufanyika kwa utungaji wa mtoto wake huyo nje ya kizazi (IVF).


Happiness Millen Magese ni shujaa kati ya mashujaa wakike Afrika aliyepigana vita kubwa ya tatizo la kiafya la seli zinazofaa kuwa ndani ya mji wa uzazi kuwa nje ya mji wa uzazi linalofahamika kitaalamu kwa jina Unaomdhoofisha ‘Endometriosis’.

Hata hivyo Millen Magese akiwa kama Balozi wa akina mama wote wanaopaitia tatizo la namna yake katika siku hii ya kumbukumbu ya maamuzi yake magumu ameendelea kuhamasisha akina mama kuwa wenye ujasiri na kuomgeza matumaini kuwa kama iliwezekana kwake pia inawezekana kwa mwingine.
“…I would like to encourage women out there not to loose hope…” 
Today my son mark 13 weeks since he was born but exactly one year since they transfer his embryo on oct 16 2016 . So I would like share few videos I took before the transfer . The minute my doctor told me I hv only two options to remove my uterus or try ivf , I took a bold step . I started this procedure from May back and forth , so many injections but I couldn't find even one egg , only in October , I found 4 . This is the procedure I couldn't get to do because it was either my embryos dies few minutes before transfer or my ovaries doesn't get to form an egg , or strong enough to form a pregnancy . I would like to encourage women out there not to loose hope . IVF is a nightmare and super expensive. As much as I was too tired I kept going . If you have opportunity to have one then do it with faith and positive mind . It can really change everything. It was so hard for me to get to this day of transfer and that embryo and the only embryo that matured before they transfer is now my son #princekairo👑🤴 . Happy 13 weeks my love . It was the time for me . God's time works better stand on your faith 👊🏽👊🏽#ivfsuccess #infertiliysucks #endometriosissucks #findacure4endometriosis👊🏽💛 #ManyFacesOfEndo. Also follow @millenmagese_ivfjourney to learn more . All the best ladies . #mymiraclesonprincekairo🤴#PrinceKairo'sJourney🤴🏻
A post shared by Millen Magese (@ladivamillen) on
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.