Penzi la Wolper na Brown chali?

Duniani kuna mambo, Ile couple ya Amber Rose na 21 Savage ya Bongo inayomuhusu muigizaji wa filamu  Jackline Wolper na Brown dezaini kama limekufa hivi.


Wawili hao ambao walionekana wakiwa wameshibana kimahaba sasa kunonyesha kama kuna hali ya kutokuwa sawa hii ni kutokana na kuwa  mrembo Wolper hakuonekana na mpenzi wake huyo aliyerithi mikoba ya Harmonize,  katika private party ya Diamond Platnumz usiku wa Jumatatu(02/10/2017) katika hotel ya Hyatt Regency.

Pia ukiitazma akaunti ya mtandao wa kijamii wa Instagram, ya Bff wa Wolper  amemu-unfollw mrembo huyo na kufuta picha zote walizowahi kupiga pamoja  ama kumpost.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment