Beyonce, Taylor Swift na Priyanka Chopra watajwa na Forbes kwenye hili mwaka huu

Jarida la Forbes limewataja majina 15 ya wanawake wenye nguvu kubwa ya ushawishi katika burudani na vyombo vya habari duniani mwaka 2017.

Miongoni mwa waliotajwa ni Donna Langley ambaye ni mwenyekiti wa kampuni ya kutengeneza filamu ya Universal Picture, Beyonce, Priyanka Chopra, Taylor Swift, Dana Walden ambaye ni mwenyekiti wa kituo cha runinga cha Fox na wengine.
Haya ni majina 15 ya wanawake hao ambayo yametajwa na Forbes.
1.Anna Wintour, Artistic Director, Conde Nast
2.Bonnie Hammer, Chair, NBCU
3.Stacey Snider, Chair-CEO, 20th Century Fox
4.Beyonce Knowles, Singer
5.Margarita Simonyan, Editor-in-Chief, RT (Russia)
6.Dana Walden, CEO, Fox Television Group
7.Katharine Viner, Editor-in-Chief, Guardian
8.Donna Langley, Chair, Universal Pictures
9.Zanny Minton Beddoes, Editor-in-Chief, The Economist
10.Kathleen Kennedy, President, Lucasfilms
11.Arinna Huffington, Cofounder, Huffington Post
No. 12: Taylor Swift, Singer-Advocate
13.J.K. Rowling, Author-Advocate
14.Shobhana Bhartia, Chair, HT Media
15.Priyanka Chopra, Actor-U.N. Goodwill Ambassador
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment