Huu ni Ujumbe wa kwanza wa Irene Uwoya toka afariki Ndikumana

Leo ni siku ya tano toka afariki na kuzikwa aliyekuwa kapteni wa timu ya Taifa ya Rwanda, Hamad Ndikumana ambaye pia alikuwa ni mume wa muigizaji wa filamu nchini Tanzania, Irene Uwoya.

Irene akiwa na aliyekuwa mume wake, Ndikumana
Mrembo huyo wa filamu hakuwahi kueleza chochote hata kupost ujumbe wowote kuhusiana na tukio hilo.
Weekend hii Irene alipost video ya wimbo “My Trust Is In You” ulioimbwa na muimbaji wa injili, David G.

A post shared by Actress/Mom/Queen of Bongo Mov (@ireneuwoya8) on
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.