Faiza Ally anatamani angezaa hata watoto 10

Msanii wa Filamu Bongo, Faiza Ally amesema katika maisha yake angetamani kuzaa hata watoto 10 lakini haiwekani.

Faiza ametaja sababu ya kutowezekana ni kutokana na gharama za maisha kuwa juu na kueleza watoto wake wawili alionao wanamtosha.
“Sina mpango wa kuwa na mtoto mwingine kwa sababu wawili wananitosha, I don’t need more because life is too expensive, so sitaki kuleta mtoto aje kupata shida lakini natamani ningezaa hata 10” Faiza ameiambia Bongo5.
Faiza ana watoto wawili, Sasha na Li Junior.

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment