Harusi ya Dj wa Diamond, Rommy Jones

Siku ya Jumamosi  Dj wa Diamond Platumz, Rommy Jones alifunga ndoa na usiku wa kuamkila leo katika ukumbi wa Cardinal Rugambwa Hall maeneo ya Oysterbay, wakadondosha party ya nguvu ikihudhuriwa na watu wa karibu na familia hiyo akiwemo baby mama wa Diamond Platnumz, Zari The Boss Lady.Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment