Hiki ndicho alichofanyiwa Wolper na Diamond Platnumz kwenye Birthday Party yake

Jana ilikuwa siku ya kuzaliwa kwa mrembo wa Bongo Movie, Jackline Wolper ambapo mastaa kibao walihudhuria kwenye sherehe maalumu (Birthday Party) akiwemo Diamond Platnumz.
Ofcorse Diamond alikuwepo kumpongeza shemeji yake wa zamani kwa Harmonize na alichokifanya kwa mrembo huyo. Tazama mwenyewe kwenye video hapa chini

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment