Irene Uwoya anena yanayomtokea, ‘nimelia mwenyewe hadi kulala’

Ikiwa leo ni birth day ya Irene Uwoya, Muigizaji huyo amefunguka baadhi ya vile ambavyo anavipitia katika maisha yake.

Irene amesema licha ya yote anayopitia bado yeye ni mwanamke jasiri kwa namna ambavyo amekuwa akikabiliana na changamoto zake. Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika;
I am a strong woman…Everything that’s hit me in life I’ve dealt with on my own. I’ve cried my self to sleep…Picked my self backup and wiped my own tears.I have grown from things meant to break me.I get stronger by the day And i have God to thank for that.Happy birthday to me…🙏🏽🙏🏽🙏🏽🥂 make-up
November 14 mwaka huu Irene alifiwa na aliyekuwa mume wake, Hamad Ndikumana ambaye alikuwa akicheza mpira nchini kwao, Rwanda.

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment