Jokate awafunda vijana

Mjasiriamali na Mwanamitindo maarufu Bongo, Jokate Mwegelo amewataka vijana kutumia mitandao ipasavyao.

Jokate  amesema ni vema vijana wakatumia mitandao kuwa ajili ya kupata taarifa sahihi ambazo zitakuwa na manufaa kwao.
“Vijana wasitumie mitandao ya kijamii kujua Jokate amevaa nini leo au kaweka nywele gani inatakiwa watafute taarifa mbalimbali ambazo kila wakati hutolewa katika internet ili ziweze kuwapa ufahamu na pengine kuwasaidia” Jokate ameimbia EA Radio.
Katika hatua nyingine Jokate amesema ni vizuri kwa kijana kuwa na kazi yake binafsi ili aweze kujiamulia mwenyewe mambo yake kwamba leo afanye kazi gani nakadhalika.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment