Jux Amwandikia Ujumbe Vanessa Mdee baada ya kusaini Universal Music Group

Ni raha kuona mtu wako wa karibu anafanikiwa kupiga hatua kwenye jambo fulani. Jux ameonyesha kufurahia mafanikio ambayo anayapata mpenzi wake Vanessa Mdee.

Baada ya mrembo huyo wa Bounce kusaini dili nono na kampuni ya Universal Music Group, Jux ameonyesha kushindwa kuzuia hisia zake kwa kumpongeza Vee Money kupitia mtandao wa Instagram.
Kupitia mtandao huo Jux ameandika:
@universalmusicgroup @universalmusicgermany Najua unandoto kubwa sana kufika unapotaka na kila siku nakwambia inawezekana utafika tu hii ni moja ya njia kuelekea uko. hongera mama @vanessamdee you deserve this. Safari inaendelea #moneymondays #independentwoman #powerful #africanqueen #smart #cashmadame💰 #levels
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment