Kauli ya Hamisa Mobetto baada ya kutua Uganda ‘Girls Power’

Hamisa Mobeto ametinga nchini Uganda kwa mbwembwe za aina yake huku akipokelewa kwa shangwe na ndugu jamaa na marafiki waliofika kumpokea katika Uwanja wa Ndege alipowasili. Wakati hasimu wake, Zari akitarajia kufanya event yake ya Zari All White Party nchini huko Uganda December 21 mwaka huu, siku hiyohiyo Hamisa naye amealikwa kwenye tamasha la Girls Power ambalo litafanyika siku moja na party ya Zari, jambo ambalo linavuta hisia za wadau na wapenzi wengi wa burudani.

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment