Maoni ya Wananchi baada ya Rais Magufuli kumsamehe Babu Seya na Papii Kocha

Baadhi ya wananchi wa Ilala jijini Dar es salaam, wametoa maoni yao baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli kutoa msamaha kwa wafungwa 8157 wakiwepo wanamuziki nguli, Babu seya na Papii Kocha. Tazama video hii uone maoni ya wananchi hao:

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment