Napokea vitisho kutoka kwa TID kisa demu – Calisah

Model Calisah amefunguka kwa kudai kwamba anapokea vitisho vingi kutoka kwa muimbaji, TID kwa madai anamchukulia demu wake.


Calisah amedai amekuwa akipokea vitisho kutoka kwa marafiki zake wa karibu wakidai wametumwa na muimbaji huyo aliyewahi kufanya vizuri na wimbo, Zeze.
“Ni kweli nimekuwa nikipokea vitisho kutoka kwa TID anadai namchukulia demu wake sio kweli,” Calisah aliimbia Bongo5. “Huyo demu nilikutana naye kwenye bwawa la kuogelea akajoin na mimi basi tukawa washkaji kabisa mpaka sasa tunaongea vizuri na ni watu wa kawaida,”
Muimbaji TID alimpost mrembo huyo kupitia instagram yake na kuandika “My melodies Sing back,Half human half Mnyama she is my Nusu kwa Nusu,”

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment