Rais Magufuli amteua Wakili Msomi Alberto Msando

Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ameunda tume itakayokuwa na jukumu la kufuatilia mali za chama hicho kote nchini akiwepo wakili msomi Alberto Msando.

Nimeamua kuwa na Timu moja itakayo kuwa inafuatilia mali zote za Chama cha Mapinduzi, itakuwa na wajumbe kama wanane hivi na nataka nitoe wito Waziri Mkuu yupo hapa hii timu itakapo enda itakwenda kuuliza mtu yoyote awe wa serikalini awe wa kwenye chama ili mali hizi ziwe za registered ziweke kwenye kompyuta lakini nyinyi ripoti yenu muwe mnaleta na hii ni kama ripoti ya Makinikia, ni tume yangu mimi ni makinikia ndani ya Chama cha Mapinduzi ikafanye wajibu wake nataka siku moja chama hichi kiweze kujitegemea,’ alisema Rais Magufuli.
Soma taarifa kamili;

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment