RAYVANNY NA FAYMA WAONESHA DALILI ZA KUTUPILIA MBALI PENZI LAO

Msanii wa muziki wa kizaki kipya kutoka lebo ya WCB Wasafi Tanzania, Rayvanny na mrembo aliyepata naye mtoto wake ‘Jaydan’ Fahyma zimeanza kuibuka figisu figisu zenye dalili za wawili hawa kuachana.

Katika uwazi kila mmoja kuonekana kuwa tayari kuendelea na maisha yake, Rayvanny kupitia ukurasa wake wa Instagram alianza kwa kupost.
“Mpende ila Usimuamini , Mpe ila sio Vyote, mtunze ila Usimchunge, mpe mwili wako ila Usimpe Siri zako….. 😂😂 Ata mkojo ulikua Soda, Vitamu ndio Vichungu keep it your Mind.” Ujumbe ambao muda mfupi baadae ulijibiwa kwa post kutoka kwa Fahyma aliweka picha picha na kuandika “SINGLE Mama 😡
” kuonesha kuwa kwa sasa hayuko katika kahusiano.
Kilichofuata baada ya Ishara za kuwa Rayvanny na Fayma hawako sawa, Diamond Platnumz alishuka kwenye uwanja wa maoni wa alichokipost Rayvanny na kutetea kuwa Fayma haliwi kwa naneno ambayo walielewana wao kisha akamtag Meneja Makame anayesimamia kazi za mbali mbali za wasanii wa WCB akiwemo Rayvanny.

Rayvanny akugongelea nyundo zaidi aliweka post kwenye akaunti yake ya Instgram na kuliaga penzi la Fayma kwa kuandika “Safari njema But change that f****n name PERIOD.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment