2018 Iniletee Mume niko TAYARI - Jokate Mwegelo

Mrembo Jokate asema sasa yuko tayari kupata mume ,na anaomba kwamba mwaka 2018 utamletea hubby wake,amendika maneno haya kwenye page yake ya instagram akiwa kapendeza sana na kigauni chake cha maua maua na hair style ya nywele nyingi wanasema big hair dont care.

Oh 2018 bring me my hubby already ๐Ÿ˜. I’m ready. ❤️ #Amen
Asema pia Vigezo na Masharti Kuzingatiwa. ❤️
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment