Baada ya Afrika Kusini Diamond kununua mjengo mwingine Rwanda

Msanii wa muziki Bongo, Diamond Platnumz ameweka wazi mipango yake ya kununua nyumba nchini Rwanda.

Diamond amewauliza mashabiki wake wa Rwanda ni sehemu ipi ambayo ni nzuri kwa ajili ya makazi. Kupitia ukursa wake wa Instagram muimbaji huyo wa WCB wameandika;
am looking for a property to buy in #Kigali. My future new home for the Simbas! My Rwandese fam, any ideas….?
Ningependa kuwa na kakibanda Kigali, Rwanda, Maana ni moja ya nchi niipendayo… hivyo ningefurahi kuwa na moja ya makazi yangu hapo…. Eti ndugu zangu wa Rwanda ni maeneo gani huko panaweza nifaa….?
Mwaka 2016 Diamond aliweka wazi kununua nyumba ya kifahari nchini Afrika Kusini iliyopo jijini Pretoria ambayo iligharimu zaidi Tsh. Milioni 400
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment