Dogo Janja na Irene Uwoya Wanaswa kwenye kudeo wakipelekana saloon

Kuna video ikiwaonesha Dogo Janja na mkewe Irene Uwoya wakisindikizana saloon, Irene Uwoya na Dogo Janja wameoneka kwenye video wakiwa pamoja saloon ya kike ambapo inaaminika kuwa Dogo Janja alimsindikiza Irene Uwoya  kutengeneza nywele na inawezekana hii ndio ikawa video ya kwanza kuwaonesha wawili hawa wakiwa pamoja baada ya kuoana.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment