Gigy Money ameripoti BASATA ,Je ni Mjamzito??

Baada ya kauli ya Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Juliana Shonza kumtaka Gigy Moneykufika Ofisini kwake  mwenyewe kabla ya Serikali haijamtafuta , Leo January 8 2018 nimezinasa Picha 10 za Gigy Money akiingia Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) aliwasili na mpenzi wake Mo J, Good News ni kuwa Msanii huyo ni mjamzito

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment