Harusi ya Shilole na Uchebe iliyofanyika Mikocheni DSM

Msanii wa Bongofleva na Bongo Movie Shilole leo amefanya  sherehe ya harusi yake n
a mume wake Uchebe ambapo imefanyika Mikocheni Dar es salaam na kuhudhuriwa na mastaa mbalimbali kama Diamond Platnumz, Hamornize, Wolper, Vanessa Mdee, Jux, Joketi, Dogo Janja na Irene Uwoyo pamoja na wengine..
Hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye sherehe hiyo..


Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment